Monday, September 2, 2013

News : Kiini cha mashambulizi Baragoi





News : Kiini cha mashambulizi Baragoi


Published on Nov 17, 2012

Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Maafisa wa jopo la kitaifa la polisi walizuru mlima suguta na kujionea wenyewe maasi yaliyotendewa maafisa 42 wa polisi waliouawa kinyama, jumamosi iliopita. Baadaye walifanya mkutano wa faragha na wakuu wa polisi katika maeneo ya baragoi. Wakati huo huo mkuu wa polisi mkoani bonde la ufa john mbijiwe alikuwa na wakati mgumu wa kuwaelezea wanahabari wa ktn kwa nini idara ya polisi inatoa taarifa za kupotosha kuhusiania na kuwepo kwa maafisa wa kulinda usalama katika mlima suguta. Mwanahabari wetu mohammed ali ambaye amepiga kambi katika mlima huo wa mauti ametuandalia taarifa hiyo
A country controlled by thugs who cares for no one, they send young recruits to help one tribe against the other, taking sides, Mbijiwe should be held responsible.

No comments: